Msaada iwapo kuna mtu anewai kukutana na changamoto ya account yake kuwa either permanent restricted au temporary restricted nimefanya appeal za rangi zote ila bado wamenishikiria.
Ongeza nyama kwenye post yako. Ulifanya nini mpaka wakakupa restriction? Au ndiyo wale mliyoshobokea yale matangazo ya "Kama akaunti yako ya LinkedIn ina connection zaidi ya 100 basi unaweza kulipwa dola kadhaa kila mwezi"

Mm nililambwa block ila walinifungulia chamsingi uwe na taarifa sahihi za akaunti Yako Kisha nenda huduma kwa wateja iliyopo twitter account Yao kisha waeleze wape taarifa zako watakufungulia