M Marnah JF-Expert Member May 3, 2013 1,124 303 Jan 11, 2016 #1 Hi wakuu.....mwenye Link ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 Pamoja na Link ya matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015 Anipatie tafadhali,Ahsanteni!
Hi wakuu.....mwenye Link ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 Pamoja na Link ya matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015 Anipatie tafadhali,Ahsanteni!
M Marnah JF-Expert Member May 3, 2013 1,124 303 Jan 11, 2016 Thread starter #2 Kimya????????mwenye nayo aiweke basi
Dupe JF-Expert Member Jan 21, 2013 1,668 811 Jan 11, 2016 #3 Kwan matokeo yametoka? Kwa kawaida inakuwa kwenye websote NECTA