chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,783 Jan 3, 2017 #1 Habari wakuu. Nahitaji msaada wa link ya Gb WhatsApp. Natanguliza shukrani
Prince_mandela Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 167 Reaction score 117 Jan 3, 2017 #2 Ata mm nashida na hiyo kitu mkuu ebu tuwasubiri wataalamu
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,783 Jan 3, 2017 Thread starter #3 Prince_mandela said: Ata mm nashida na hiyo kitu mkuu ebu tuwasubiri wataalamu Click to expand... Nyingi nazopewa zinagoma, sijui shida nn
Prince_mandela said: Ata mm nashida na hiyo kitu mkuu ebu tuwasubiri wataalamu Click to expand... Nyingi nazopewa zinagoma, sijui shida nn
baldin Senior Member Joined Jan 2, 2012 Posts 185 Reaction score 41 Jan 3, 2017 #4 Whatsapp yangu inafanya kazi kwa wifi tu,kwa cellular data imegoma, nimejaribu uninstall / install whatsapp lkn bado tatizo lipo,mwenye kufahamu jinsi ya kutatua hili tatizo tafadhali
Whatsapp yangu inafanya kazi kwa wifi tu,kwa cellular data imegoma, nimejaribu uninstall / install whatsapp lkn bado tatizo lipo,mwenye kufahamu jinsi ya kutatua hili tatizo tafadhali
Lucas Maduhu Member Joined Mar 16, 2016 Posts 35 Reaction score 14 Jan 3, 2017 #5 http://modapk.io/protectedapk/downloadbac.php?downcode=m1x4l7e9m7d4t9f5l6a8
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,783 Jan 3, 2017 Thread starter #6 Lucas Maduhu said: http://modapk.io/protectedapk/downloadbac.php?downcode=m1x4l7e9m7d4t9f5l6a8 Click to expand... Asante mkuu ila link haifunguki, hebu jaribu kutuma ingine
Lucas Maduhu said: http://modapk.io/protectedapk/downloadbac.php?downcode=m1x4l7e9m7d4t9f5l6a8 Click to expand... Asante mkuu ila link haifunguki, hebu jaribu kutuma ingine
Lucas Maduhu Member Joined Mar 16, 2016 Posts 35 Reaction score 14 Jan 3, 2017 #7 chakii said: Asante mkuu ila link haifunguki, hebu jaribu kutuma ingine Click to expand... Jaribu na hii mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_by_apkreal-com-apk/
chakii said: Asante mkuu ila link haifunguki, hebu jaribu kutuma ingine Click to expand... Jaribu na hii mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_by_apkreal-com-apk/
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,783 Jan 3, 2017 Thread starter #8 Lucas Maduhu said: Jaribu na hii mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_by_apkreal-com-apk/ Click to expand... Thanks alot, nimefanikwa asee mkuu,
Lucas Maduhu said: Jaribu na hii mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_by_apkreal-com-apk/ Click to expand... Thanks alot, nimefanikwa asee mkuu,