Lini tutafikia au kukaribia kiwango cha kuigiza cha marekani?

Lini tutafikia au kukaribia kiwango cha kuigiza cha marekani?

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
Mi ni mpenzi sana wa movies;uwongo mbaya hasa muvi za kimarekani kutokana na mpangilio wake wa stori kwa ujumla. mf utakuta mtu ka Nicolus Cage anaigiza ka mwalimu(lecturer) yaani jamaa anaitendea haki nafasi ya uwalim utafikiri mwalimu kweli!! Anapiga pindi na wanafunzi unawaona wako katika mandhari ya kidarasani kabisa au denzel katika muvi ya deja vu alivyo act kama police mpelelezi ! Utafikiri kitu cha ukweli . Kwa nini tusijaribu na sisi hapa Bongo kutoa kitu 'exceptional' ? maana kila muvi ya kwetu unaweza kuotea itakuaje mbele?
 
Kibongobongo hatuwezi kufika level za marekani lakini at least tujaribu. Hata hapo kenya na SA wapo waigizaji wazuri sana. Nakumbuka movie ya The first grader waliyofanya wakenya na waSA. Waigizaji are so realistic
 
Back
Top Bottom