BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,125
Matukio ya hivi karibuni nchini ikiwemo uvamizi, utekaji na utesaji yamesababisha taharuki kubwa nchini na kusababisha kuwa gumzo kubwa mitaani na mitandaoni. Cha kushangaza Rais yuko kimya tu, lakini ana muda wa kuzungumza na Wabunge wa CCM kwa mara ya pili sasa baada ya kuzungumza nao March 12, 2017.
Ni lini Rais atazungumza na Watanzania kuhusu matukio haya ya kutisha nchini!? Je, haoni umuhimu wa kufanya hivyo wakati anaona umuhimu wa kuzungumza na Wabunge wa CCM?
Ni lini Rais atazungumza na Watanzania kuhusu matukio haya ya kutisha nchini!? Je, haoni umuhimu wa kufanya hivyo wakati anaona umuhimu wa kuzungumza na Wabunge wa CCM?