baba love afo
Member
- Jan 21, 2018
- 7
- 2
Maandalizi ni muhimu ili kama kamuda ka kuacha ni karefu niandae mchepuko.Oa kwanza, na hiyo mimba ipatikane ndio utajua....mwanzo na mwisho wa kufanya
Kizazi cha dot com na vikome wapi na wapi? Ni zaidi ya mlongo mmoja sasa impact ya vikome imepotea.Life expectance imeshuka mno kiasi siku hizi vijana hawawakuti mababu wa kukaa nao kwenye vikome!!!!
Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.
Kaka had ifiki week moja anakaribia kujifungua ndyo umuacheHabari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.
Kama umeniacha njiapanda. "Sex position" ndo kivipi hapo?? Fafanuapo.Unapendelea kutumia tu Mpaka atakapo karibia kujifungua but unatakiwa kuwa makini hasa kwenye sex position.
hata siku moja kabla ya kujifungua! inaruhusiwa, muhimu uingie kistaarabu kulegeza njia!Habari wadau wana jf.