:A S-confused1::A S-key:OCTOBANaombeni kuuliza hiv ni mwez gan wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please!
Naomba kujua kama kuna mtu anajua gharama za kuaply kwa tcu na vip kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma gharama ni tofauti...naomba anayejua anisaidie