Lini ahadi ya umeme vijijini itatekelezwa?

wa ukae

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
2,713
2,138
Sisi watu tunaoishi vijijini tulikuwa na imani kubwa ya kupata umeme katika vijiji vyetu baada ya serikali kutuahidi kuwa ifikapo mwezi wa saba 2015 vijiji vyote vilivyo katika mpango wa Rea awamu ya pili vitakuwa vimeshapatiwa umeme sasa ni mwezi wa kwanza 2016 bado hatujapatiwa huo umeme tulioahidiwa na wala wale waliotuahidi hawatwambii ni lini watatupatia huo umeme sasa wadau nilichotaka kujua huo mpango wa kutuletea umeme vijijini bado upo au ulishakufa kifo cha mende?
 
Back
Top Bottom