M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,067 Reaction score 1,328 Sep 5, 2018 #1 Habari wana JF, Kwa wote waliopitia katika hali za kukata tamaa kutokana kwa jambo moja au jingine napenda kuwaambia lingalipo tumaini. Hebu msikilize hapa Gloria Muliro akikutia katika wimbo wake uitwao "Narudisha" Barikiwa sana
Habari wana JF, Kwa wote waliopitia katika hali za kukata tamaa kutokana kwa jambo moja au jingine napenda kuwaambia lingalipo tumaini. Hebu msikilize hapa Gloria Muliro akikutia katika wimbo wake uitwao "Narudisha" Barikiwa sana