Line za wakala zinapatikana, karibuni

Line za wakala zinapatikana, karibuni

Nommy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
448
Reaction score
27
Tigo 240
mpesa 170
airtel 130

unapata na logbook zake zikiwa mpya

serious buyers only 0712191251
 
Hivi hiyo ya Tigo inaweza kuhama mkoa maana niliambiwa hazivuki mkoa
 
inahamaaaa ndio unaunganishwa na wakala wa mkoa husika wapo huku niliowauzia wa mkoan na wanazitumia vzr
 
nikiwa poa nitakucheki mkuu,nina mzuka na biashara hizo sema nasubiria muda mkwanja uteme nianze kazi
 
Shukrani sana kwa taarifa natumai mambo yakinikalia vyema nitachukua angalau hizo mbili tigo na voda
 
ni mpya au imetumika namaanisha itakuwa na jina gan la mnunuz au la kwako
 
ni mpya au imetumika namaanisha itakuwa na jina gan la mnunuz au la kwako

ni mpya zote hazijamika utaanza kuzitumia ww na utapata kwa jina lako ukij na documents
 
ndio inawezekana the happy one ...bdo zipo your welcome
 
Back
Top Bottom