Line za uwakala, zinauzwa (Hii part 2).

Line za uwakala, zinauzwa (Hii part 2).

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,116
Reaction score
5,370
Nilipata mteja juzi juzi tu humu wa line zangu, ndio maana nimerudi na nyingine tena.
Hizi hazijasajiliwa kwa jina langu. Zipo Njombe. Aliyezisajili yuko nje ya nchi (bado nina mawasiliano naye). Ndiye kaniruhusu kuziuza.
Zipi line 4 (Mpesa, tigopesa, airtel money na halopesa).

Kila moja offer ni laki moja na ishirini(120000),
ila ukinunua zote kwa pamoja jumla ni laki 4 na elfu kumi (410000),
Na kama utazifuata Njombe mwenyewe basi ni laki 4 kamili (400000) kwa jumla.
Kwa aliye serious tu, biashara hapa hapa au PM au Email: islets99@gmail.com.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo anahitaji 2

Stupidly sasa si uweke simu email ya nini mpuuzi wewe..
 
Back
Top Bottom