Mkuu hata hiyo smartphone maeneo mengine chenga. Hakuna kitu TTCL na haitatoboa kwenye telecom industry.yani wanazingua balaa......kama una moderm na nokia ya tochi.,,.inabidi ukaazime smartphone uunge bando ndio uweke kwenye modem yako
Ukitaka line ya chuo unaipataje?Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G
TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..Mkuu hata hiyo smartphone maeneo mengine chenga. Hakuna kitu TTCL na haitatoboa kwenye telecom industry.
Kweli hapo walikuwa kwetu hawapatikani kabisa lakini juzi nimeweka line na kitu kikasoma tena nilichofurahia 3G yao ni sawa na 4G ya tigo*.. 4G yao balaa kama Vodacom sema tu vodacom anavirufushi bora kile cha mb800 kwa 1000 na 2gb usiku kwa 1000.TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
Mkuu line ya chuo nitapataje, naiihitaji japo sijui kwa Arusha upatikanaji wake ukoje hasa internetTTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G
Mkuuu asante, vipi kuhusu line za chuo nitazipataje?TTCL ukitaka special namba ni bure , hakuna gharama yeyote ile. kuhusu huduma zao bado wanaendelea na ujenzi wa mawasiliano kwa kasi,Na lengo lao ni kuwafikia watanzania popote walipo nchini na wamesha tandaza Dar, Pwani,
Morogoro, Dodoma, Mbeya, Mwanza,Tanga na Zanzibar N.K jana na leo walikuwa na uzinduzi kule Tanga kunani, pamoja na Arusha ni kesho nasika wanazindua, kwa ujumla hawa jamaa wako vizuri.
- Simu yeyote yenye 3G au 4G unaweza kuweka line ya TTCL na inafanya kazi, tena wana ofa kibao ukiacha kupiga simu bure TTCL-TTCL mara uongezapo salio, si hivyo tu utapiga mitandao kwa bei ya 1.17 kwa sekunde.
- Kwa sasa wanajitahidi sana wana mawakala,na kwa yule wa mabibo hostel jitahidi utoke maeneo yako hapo barabarani au rahisi kwako ni ubungo plaza wana shop yao hapo,contact yao ni namba 100 huduma kwa wateja ni bure, ukiwa na simu ya TTCL na namba 0222100100 kwenye simu yeyote ile ila utachajiwa
- kujiunga kwenye vifurushi vya TTCL piga Code *148*30# au ingia kwy www.ttcl.co.tz na kwa maoni zaidi wana customercare@ttcl.co.tz
Ukitaka line ya chuo unaipataje?
Halafu wote wanakwepa swali hiliMkuuu asante, vipi kuhusu line za chuo nitazipataje?
Kupata lain ya chuo ni issue kidogo kama wewe si mwanachuo ..njia rahis ni kutafuta mtu ambae ni mwanachuo na umuombe akusajilie kwa ID yake basi .Mkuu line ya chuo nitapataje, naiihitaji japo sijui kwa Arusha upatikanaji wake ukoje hasa internet
Hata mimi nashangaa mkuu, sijui kwanini. Ila kama hawajui ni bora wawe wazi tu.Halafu wote wanakwepa swali hili
Kama ww ni mwanachuo nenda na ID yako utapata laini...otherwise tafuta mwanachuo akusaidie kusajili lain yako.Mkuuu asante, vipi kuhusu line za chuo nitazipataje?
Asante mkuu.Kupata lain ya chuo ni issue kidogo kama wewe si mwanachuo ..njia rahis ni kutafuta mtu ambae ni mwanachuo na umuombe akusajilie kwa ID yake basi .
Kuhusu Arusha sijajua maana mimi sio mkaz wa huko,nenda kweny website zao na kisha utaona office locations na utachagua arusha kisha utaona walipo.
Ya chuo wanauzaje?Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G
Line zao za 4G hazisupport 3G na 2G hii ni weakness kubwa sana. Sasa mkuu sehemu kama Kolomije 4G ya nini?!TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
Nna lain ya 4G inapga 3G na 4G pia...sasa mkuu wewe 2G ya nini dunia ya leo?Line zao za 4G hazisupport 3G na 2G hii ni weakness kubwa sana. Sasa mkuu sehemu kama Kolomije 4G ya nini?!
Nazungumzia kibiashara, feature phones hazitumiki siku jizi? Ktk biashara ya mawasiliano asilimia kubwa ya subscribers wanatumia feature phones.Nna lain ya 4G inapga 3G na 4G pia...sasa mkuu wewe 2G ya nini dunia ya leo?