SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Hapo ndo naanza kujiuliza serikali ya CCM vipaumbele vyake ni nini?? imewezekanaje mashirika ya bima ya taifa ambayo yameanzishwa miaka mingi kabla hata ya Makampuni Za simu kushindwa kuwaelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima Za afya eti mpaka leo watanzania wenye bima za afya ni chini ya milioni 10 wakati simu zilizoanza mwaka 1998/1999 Tanzania tayari wamewafikia watanzania 40 million kati ya million 50 (kwa mujibu wa TCRA kuna line 40 milioni zilizosajiliwa mpaka sasa)
Na tathmini inaonyesha wastani wa fedha wanazotumia katika simu kwa mwaka kwa mtu mmoja ni karibia sawasawa na gharama ya bima ya afya kwa mwaka.
Hivi hii nchi tumewahi kuwa serious?? Line za simu ni nyingi kuliko card za bima ya afya?? and yet tuna tegemea maendeleo?? Tanzania kama nchi ni JIPU