Wacha wizi line ni elfu 10 sio 12Habari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo
Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha Muhimbili cha mwendokasi
Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfupi tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu PmView attachment 3239307
Legal, sio vifichoIs this service legal or illegal?
Hapana, mchanganuo ni kama unavyoonekana pichaniHiyo unlimited ya mwezi unaweza kulipia kwa mwaka?
Hata haramu inaweza kufanyika bila kificho.Legal, sio vificho
Nakuelewa mkuu, hakuna shaka kwa hilo unaweza tu kuanzisha tangazo soko huria hili mkuuWacha wizi line ni elfu 10 sio 12
Ni kweli kabisa, hii sio sasaHata haramu inaweza kufanyika bila kificho.
Speed ni kama line za kawaida za mtandao wenyeweNilijiunga na SME data only ya halotel, kusema ukweli speed hairidhishi
Sifanyi kazi hiyo Nina kazi zangu zingine laini halotel pale elfu10 na bando. La gb 4 la wiki na hiyo ndo ya kwanza kutumia kabla ya hii ninayotumia sasaNakuelewa mkuu, hakuna shaka kwa hilo unaweza tu kuanzisha tangazo soko huria hili mkuu
Wapi wanatoa bure.Hizo line kutoka bure mpk sasa mnaziuza
Zinauzwa hadi halotel shop mkuu, elfu tano tu na kwa ajili ya Data pekee..Hizo line kutoka bure mpk sasa mnaziuza
wewe pia ni mwizi..Wacha wizi line ni elfu 10 sio 12
Boss kwanini unatoza pesa zote hizo wakati hizo line ni bure!!!??? Kama unahitaji kupata chochote ungeweka angalau 5k kama malipo ya huduma na si zaidi ya hapo. Mimi nnazo line mbili za halotel na nimepata bure kabisa kwa wakala wao.Habari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo
Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha Muhimbili cha mwendokasi
Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfupi tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu PmView attachment 3239307
Line ni bure hata sasa, huyo anataka cha juu.Hizo line kutoka bure mpk sasa mnaziuza
Nenda halotel shop, unatoa 5k na hiyo 5k inakuwa malipo ya kifurushi cha kuanzia. Line yenyewe ni bure.Wapi wanatoa bure.
Naomba connection ya huyo wakala, Mimi shop kwao waliniambia hawatoi kwa mtu binafsi bali kwa makampuni tu.Boss kwanini unatoza pesa zote hizo wakati hizo line ni bure!!!??? Kama unahitaji kupata chochote ungeweka angalau 5k kama malipo ya huduma na si zaidi ya hapo. Mimi nnazo line mbili za halotel na nimepata bure kabisa kwa wakala wao.
Laini ni BureWacha wizi line ni elfu 10 sio 12
Hio unlimited inafanya kazi kweli sio unatumia week inaanza kuzinguaHabari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo
Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha Muhimbili cha mwendokasi
Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfup. 89i tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu PmView attachment 3239307