Line ya uwakala wa M-pesa

Line ya uwakala wa M-pesa

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Kama unataka Line ya Mpesa(wakala) ikiwa katika jina la mtu tayari
No need for TIN
Bei 250,000/-
Contacts: 0757871445
 
acha kuharibu biashara ya mwenzio!anzisha thread yako!!
Mkuu sio kwamba huu uwanja (ukizingatia hatulipii) upo hapa kwa ajili ya manufaa ya mnunuzi na muuzaji (kusaidiana) na sio kuumizana wala kumnufaisha mmoja wapo ? Mimi naona hata kama kuna mtu anazitoa bure itakuwa vema akija hapa sababu kwa kufanya hivyo atasaidia wengi. Unless kama hili Jukwaa ni la Strictly for Business (hata hivyo kuna kitu kinaitwa soko huria) au ni wanunuzi tu ndio wanatakiwa kutoa majibu.
 
Hauwezi kuwafata wateja wa Voda kwenye vodashop...ukiwambia voda bei yao iko juu nunua line zangu za TIGO...

Hili ni soko huria lkn kila mmoja anaruhusiwa kuanzisha sehemu yake ya kuuzia

Na sio unataka kuuzia katika mlango wa duka la mwenzako huoo ni ujinga na welevu watampotezea
 
ndo maana mm nikasema yeyote anaruhusiwa kufanya biashara popote lkn si usubiri nifungue uje ufanyie mlangoni kwangu na unashusha bei kabisaa hiyo si biashara huria!
 
Ni kweli hauwezi sababu lile ni duka lao na wanalipia ila hapa kuna tofauti hii ni open forum ambayo haina masharti ya kulipia, ipo hapa kwa jambo la kwanza muhimu la kusaidia watu, ingekuwa tofauti mtu kama angesema kwamba bidhaa yako ni duni chukua yangu (wakati hajui bidhaa yako) ila hapa bidhaa ni ile ile ila yake bei ni tofauti, hivyo basi kwa kusema kwake amesaidia wengi.
Hili ni soko huria lkn kila mmoja anaruhusiwa kuanzisha sehemu yake ya kuuzia

Na sio unataka kuuzia katika mlango wa duka la mwenzako huoo ni ujinga na welevu watampotezea
Vilevile kila mtu anaruhusiwa kujibu chochote au kuelezea chochote kwa mtu yoyote atakayeanzisha uzi wake ili mradi asilete matusi wala kashfa...
 
ndo maana mm nikasema yeyote anaruhusiwa kufanya biashara popote lkn si usubiri nifungue uje ufanyie mlangoni kwangu na unashusha bei kabisaa hiyo si biashara huria!
Tofauti hapa sio kwenye mlango wa mtu.., ni kwenye open forum, alafu usiangalie hii issue kwa upande wa muuzaji pekee angalia upande wa mnunuzi pia.., kumbe wote hao ni wanajamii wa JF ambayo JF ipo kwa ajili yao kuwasaidia
 
kulikuwa ugumu gani yeye kufungaua uzi wake akatangaza kama mwanzisha mada alivyofanya? bado sijaona unachotea wakati nae anaweza kuanzisha thread yake.
 
Hili Jukwaa ni wadau wote wauzaji na wanunuzi au Tangazo lolote lile..., haikatazwi mtu na yeye kuja akajibu chochote kuhusu hio issue; sasa kama ameona kile kinachouzwa na yeye anacho na kwa bei nafuu.., kuweka kwake Bei yake hapa ambayo ni ndogo ni kuwapa unafuu wanunuzi. Kwahio ingawa anaonekana kamuharibia muuzaji ila kawasaidia wanunuzi
 
Mbona hizo line mnaziuza bei ghali,kwani mnazinunua bei gani
 
Back
Top Bottom