Line ya Tigopesa na M-Pesa zinapatikana

Line ya Tigopesa na M-Pesa zinapatikana

sijazaliwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
207
Reaction score
142
Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM. Asanteni.
 
Tuwasiliane nahitaji hio ya tigo kwa sh 150000 piga 0713386590 au 0787067727
 
Back
Top Bottom