Line ya MPesa na Tigopesa kwa 120,000/= tu?

mzee wa busara

Senior Member
Aug 13, 2011
181
86
Kwa anayehitaji kufanya biashara ya Mpesa au Tigo Pesa,laini za uwakala za mpesa na tigo Pesa zinapatikana kwa Tsh 120,000 tu kwa lani ya mpesa na pia 120,000 kwa tigo pesa. Fanya hima kunicheki kwenye PM ili ujipatie line mapema kwa bei ya chini kabisa.
 
Uko wapi mkuu
 
Aipungui
 
Kwanza kabla ya yote heb andika mfumo wa umilikishaj upoje, yan kuhusu jina la wakala... Na makabidhiano yapoje.. Binafs jamaa yangu kashapigwa alinunua line alaf aliemuuzia akamzunguka.. .. Hebu nisaidie mtoa mada
 
hebu nieleweshe mkuu na jina utabadilisha ? makabidhiano tunafanyia wapi? maana naweza kuwa na line lakini kule kwa wenyewe wewe ndio unafahamika mmiliki na haki zote zikawa kwako
 
Line za uwakala hata ziwe na jina la mmiliki gani huwa zinakuwa zinamilikiwa na wakala wa kanda husika na sio mtu! Huyo kukuuzia hizo line mapato na kila kitu yanakuwa yako maana malipo ya tigo na airtel yanafanyika katika hiyohiyo laini ya kazi ma voda pekee ndo wanaline ya pili ya kukulipia na ukishalipwa pesa unairudisha katika line ya kwanza pekee hivyo kama una line za kazi haiwezekani mtu mwingine aingilie kati na kukuibia!

Huyo akishakuuzia ndo umiliki umehama kutoka kwake ivyo jumla kasoro jina pekee! Ila lazima kama utazihamisha kanda mfano kutoka Arusha kuja dar lazima uende makao makuu wakuhamishie kanda ya huku basi
Akikujibu nistue...

hebu nieleweshe mkuu na jina utabadilisha ? makabidhiano tunafanyia wapi? maana naweza kuwa na line lakini kule kwa wenyewe wewe ndio unafahamika mmiliki na haki zote zikawa kwako

Usijali ndugu.. Haya mambo ya kununua kitu alaf kienyej huku detail/doc zote za umiliki anazo aliekuuzia ni jahu tu.. So lazima kuwe na makabidhiano ya kisheria ikiwezekana infront of Tigo officers kwenye sales point.. Vingnevyo ni za uso...
 
Back
Top Bottom