Line ambayo haikwati asilimia
Habari nauza line ya mpesa ambayo haipo chini ya Wakala mkuu
700000
samahani hivi mpesa unatumia mkoa wowote?
kaama umeisajili dar unaweza kuitumia mwanza?
Inategemea Na msajili wako Ni Wakala mkuu au Vodacom wenyewe kwahyo kuna limit ikiwa Ni Wakala mkuu lakini Vodacom we popote hats Tandahimba, Namangaka, huko Lorya we piga kazi tu lakini Bei yao Vodacom Ni ndefu
Line ambayo haikwati asilimia