Line ya M PESA inauzwa.

Line ya M PESA inauzwa.

lauti

Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
92
Reaction score
13
Tunauza line ya M PESA laki tatu.....kwa atakaye taka, piga 0787978879 (hasa hii ndo reliable),0654070472 na 0757627080.
 
Tunauza line ya M PESA laki tatu.....kwa atakaye taka, piga 0787978879 (hasa hii ndo reliable),0654070472 na 0757627080.

Kuna mwenzio hapa anuza 130k wewe mwizi au dalali?
 
Teh teh teh,,hili ni soko huria, kila mtu ana haki ya kupanga bei aionaye yeye inafaa, ndo maana, kuna andazi mtaani linauzwa hamsini,lakini hilo hilo ukilikuta supermarket ni 500,,,,
 
Back
Top Bottom