Lindi: Mtu mmoja afariki katika ajali ya basi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,199
Reaction score
64,650
Abiria mmoja amefariki dunia na wageni 9 wamejeruiwa Baada ya basi walilokuwa walisafiri kutoka wilayani Liwale kwenda Lindi kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Mikunya Wilaya ya Liwale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…