figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,175
- 64,552
Abiria mmoja amefariki dunia na wageni 9 wamejeruiwa Baada ya basi walilokuwa walisafiri kutoka wilayani Liwale kwenda Lindi kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Mikunya Wilaya ya Liwale.