Njoo kijiji cha Mtoni, kipo kata ya Miteja. Ni km 14 toka barabara kuu, kiko pwani ya Hindi. Unaingilia kijiji cha Sinza ukishafika Miteja. Kijiji kina eneo kubwa na beach ya nguvu. kwa shughuli zako pale ndio mwake. Umeme upo wa grid ya huku. Kina idadi ya kutosha ya watu. Ila huku uzinzi not reachable.