Mwaka jana nimeifunga account yangu ya CRDB, jamaa wezi sana, wana makato ambayo hayaeleweki yanatokea wapi, nimefungua bank ya FNB ya wasaouth Africa, tunaenda vizuri
Mwaka jana nimeifunga account yangu ya CRDB, jamaa wezi sana, wana makato ambayo hayaeleweki yanatokea wapi, nimefungua bank ya FNB ya wasaouth Africa, tunaenda vizuri
Ulijiunga na internet banking jamaa wanakata tu mantainance fee kibao ukiupload pesa online wanakata ukiingiza wanakata ukilogin kweny account wanakata ukitoka pia wanakata ukienda ATM wanakata ukichek sakio kwenye SIMbanking wanakata CRDB hawana cha bure kila kitu ni kukata tu