Limevunda CHADEMA


Kama ni wazee wenye Busara hamna kufa hapa.... Mbona CCM yamejaa nijitu Vijana lakini imeshikiwa akili na wazee mafisadi wenye pesa wanawatuma tu kama manyapara... ??
 
Uzalendo kazi kubwa na ndio mana ccm wameshindwa sasa wakiona watu mnatetea wananchi je wao wakale wapi na washa zoea kustarehe hivi mnataka wafurahishwe kunyang'anywa kitumbua mdomoni? Waacheni tuu wapige domo dhidi ya chadema laikini ukweli utababki kuwa ukweli na wajue kuichafua chadema humu sio guarantee ya kuwashawishi wananchi kuwapa fursa za kuwaibia hivyo kazaneni kutetea vitumbua vyenu lakini wananchi wanajua chadema ndio mkombozi wao.
 
Chadema ni sawa na kutestia pilipili kwenye jicho/ exhaust. Chezea wewe!!!!
 
Huyu MAFILIFILi yale yale. Kutupotezea muda. Mtajua mchicha ni mboga si muda mrefu. Unaongea kinyume: Wabunge wengi wa MAGAMBA lakini mchango wao uvaaji wa suti na vitenge. Watanzania wanataka kazi ya kuwakomboa sio bla bla. Kama unategemea kuwa utapewa ujira kwa mada hii yenye ----- imekula kwako/kwenu. Mna panick mara iombeni Mahakama ya Rufaa ipitie upy faili la hukumu hola. Hukumu hata ipitiwe mara 10, Godless Lema jogoo. Kwenye mambo ya sheria CDM kuna vyombo vya uhakika (wachache lakini vichwa). Huku kwingine kuna mdundiko tu. Pole sana msubiri mvua ya magoli.
 
kuna mijitu inaudhi kwelikweli haina lolote bado imekumbatia proaganda za kizushi ukimuuliza hata nyumba hana wenzake wanakomba nchi yeye amaridhika tu daah sijui hii mijitu imelogwa na nani , #WAHI POSHO YAKO LUMUMBA
 
Ni ujinga kabisa.NANI KAKUDANGANYA KUNA KUTAPATAPA CDM? WATU WENGINE HOVYO KABISA. LIMTU BADALA YA KUHANGAIKIA MITOTO YAKE ILE LINAKUJA KUANIKA UCHI WA AKILI YAKE MTANDAONI. YOU ARE USED BY MAGAMBA. UTATUMIWA NYUMA NA HATIMAYE MBELE.
Watoto wako wamekula?:lying:
 
Ni ujinga kabisa.NANI KAKUDANGANYA KUNA KUTAPATAPA CDM? WATU WENGINE HOVYO KABISA. LIMTU BADALA YA KUHANGAIKIA MITOTO YAKE ILE LINAKUJA KUANIKA UCHI WA AKILI YAKE MTANDAONI. YOU ARE USED BY MAGAMBA. UTATUMIWA NYUMA NA HATIMAYE MBELE.

Comments za mwanachadema HALISIA a.k.a DAMU DAMU...Huyu lazima ni Sugu....
 
Kwani hii ajenda ya katiba mpya ni yanani naona kama kunamkanganyiko kati yetu,alafu kama ccm wamedandia treni kwa mbele
 
Kwani ni uongo wawakilishi wa Mabaraza wamechaguliwa wa SSM kwa maagizo maalum!! Acha ushabiki wa kichama!! Tunataka watetezi wa maslahi ya Taifa si uchama!! Mapungufu mengi yamejitokeza katika mchakato mzima wa kupata wajumbe!! Sikuamini yule judge wangu ninayemuheshimu angeshindwa hii kazi.
 
dr slaa ndo mtaji wenu pekee uliobaki kutokana na kuungwa mkono na watu wanaokula ile kitu inatafuta chakula kwa pua

Kwani ni lazima kuchangia kama huna cha kusema MDINI WEWE....shame on you...
 

Kuna mengi ya msulubu Daktari Wiliburodi kwa mfano kauli yake ya " NCHI HAITOTAWALIKA" nk...Lakini ulichoandika ni "too personal"...ALIYE MSAFI KULIKO HUYU AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE, WOTE WAKATAWANYIKA...sasa je wewe ni msafi kustahili kumtusi mwenzako ?.............
 
Achana na akili za kitaahira wewe!!! Huna jipya kila siku kuandika habari za kipumbavu zisizi na kichwa wala miguu!!! Anza kujifunza namna ya kuyatafakari mambo kwa kina badala ya kuwa kama kasuku kusema maneno ambayo hata maana yake hayajui. Msome magamba mwenzio alivyoamua kusema kweli kuhusu bajeti ya kilimo au huyu labda naye ameshakuwa CHADEMA.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Mbunge wa Kahama, James Lembeli (CCM), alisema haiungi mkono bajeti hiyo kwasababu kwa miaka mitatu sasa bei ya pamba imeendelea kushuka huku jasho la wakulima likipotea bure.Alisema kuwa alitegemea bajeti hiyo ingekuja na mkakati wa kuhakikisha bei ya zao hilo inaongezeka na kubadilisha maisha ya wakulima ambao wanalima zao hilo kwa taabu sana.

"Siungi mkono hoja hii kwa sababu nitakuwa siwatendei haki wakulima wa pamba na tumbaku kule Kahama.
Kwa wakulima wa zao la pamba nchini kwa muda wa miaka mitano sasa bei ya pamba imezidi kushuka," alisema.
Lembeli alisema katika jimbo lake, kuna kata tano zinalima tumbaku na huliingizia taifa zaidi ya sh bilioni 15 kila mwaka.

"Lakini mheshimiwa Spika nimepiga kelele sana kwa ajili ya wananchi hawa, mkuu wa wilaya amepiga kelele sana, mkuu wa mkoa amezunguka sana kusikiliza kero za wananchi lakini serikali haisikii!" alisema.

Alisema wakulimwa wa tumbaku katika jimbo lake wanaibiwa na serikali ipo. Wanabambikiziwa madeni makubwa na mwishoni mwa mwaka hawalipwi.
"Afisa ushirika wa Kahama yuko pale kwa maslahi ya nani? Huyu ndiye kinara wa kuchonga wizi, ndiye anayepitisha malipo yote ya vyama vyote vya msingi, ndiye anayepitisha viongozi wote wabovu ambao kila siku wanawaibia wakulima wa tumbaku, lakini serikali iko kimya, siungi mkono hoja," alisema.
Alisema kwa miaka miwili sasa vyama vya ushirika katika jimbo hilo havijawalipa wakulima.
"Hawa watu maskini wakilima eka moja ya pamba kipato chake hakizidi 200,000 sasa leo mwaka wa tatu serikali inasema imekuja na rasimu, imekamilisha. Siungi mkono hoja hadi hapo serikali itakaposema imejiandaa vipi endapo bei ya pamba itashuka kufidia jasho lao," alisema.

Source: Tanzania Daima



 
ukienda kuchukua kale kaposho Lumumba usiwasahau na mambulula wengine waliokupa support humu ndani.
 
Mafililiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!! Bado upo? Kweli jina la Chadema linakufanya uweweseke. Nimekuona hata katika posti nyingine na mmoja akakujibu kuwa umefilisika hoja. Nasubiri mada nyingine utakayorusha humu kwa sababu haitakosa msamiati wa Chadema. Sibahatishi, najua utakuja na CD nyignine yenye single ya Chadema.

 
mimi sikushangai ila nakuonea huruma sikujui wamekulipa shilingi ngapi? mi nazani hujui kinachotokea sasa hivi kwenye hizi chaguzi za kuhusu maswala ya katiba kama ungejua usingekubali kutumiwa kama hivi pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…