Limegoma

Hilo haliwezi kuweka, wasukumaji kadri wanavyozidi kukaa hapo nguvu zinawaishia kwa harufu ya uvundo.
 
Hahahahahaa daah .......

Mie nilijua BUZI....... limegoma kukata kamba...... hehehehehe

Namnani Mshana jr
 
kule mbele kuna jamaa kavaa suruali ya kitenge, sijui anafanya nini pale?
 
Hiyo biogas inayochomoka humo watu wanamoyo aise
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…