limbwata

Kwa hilo pozi jamaa lazma atamani kuendelea kufua tena bila kuchoka wala kulalamika!
 
Sasa hapo cha ajabu kipi ikiwa niliyechafua hiyo chupi ni mimi mwenyewe? Kibaya ufue chupi aliyochafua mwenzio.
 
Ha ha ha raha yake uinuse ikiwa safi bhana hata kama katoka kuivaa lakini kama ni safi, zingine zinanuka mikojo
Inaonekana una sifa za wanyama nusa kwa wingi zaidi mzee.
 
kufua ni kawaida tu, ila sio kusimamiwa namna hiyo... mie nimefua jumamos hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…