Limbwata limekolea hapa

Ni ujinga class A kwa kudhani kusaidiana majukumu ya kusaidia waifu na mtoto ni kwa ajili ya watu walio na limbwata kichwani. Mtoa mada jitahidi hata usafiri kidogo usikae tu Bongo ujinga kama huo unakua unaisha automatically
 
Kilichokuwa kinaniwazishaga sana ni kwenda clinic kwa BODA au kupeleka mtoto kwa kuita taxi, so kausafiri kanahusika
 
Waliolelewa na baba wa kambo wanaona hii siyo kawaida yaani lazima kuna namna sababu wao hawakuwahi hata kubebwa na hao Baba zao wa kambo.
 
Kubeba mtoto siyo shida.. ila huo mkoba wa kike ndiyo shida..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…