Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Wangu nimempendea mauno yake!! yakipungua uwezo na kac kibut
Wangu nimempenda kwa sababu ana mapenz ya kweli kwangu. He is giving me genuine love.
Kuambiwa...kuonyeshwa!Kama mtu hajakupa sababu ya kutilia wasiwasi mapenzi yake kwako huna haja ya kua na wasiwasi!Na as long as mpendwa anaridhika na kiwango anachopendwa...hapo mapenzi ya kweli yanahusika!!mbona kama unasemea moyo wake? Ulihakiki vp kama ana mapenzi ya dhati kwako?
Analifaham hilo?
Mliambiana kabla?
Nae akupendea nin?
Mi nilishamwambi kinachonidatisha ni hayo mauno yako bac daily anayaboresha juz juz 2 hapa kayazungusha mpk akanivunja insect wangu! ila nilienda muhimbili sahv napiopii .....
wangu,alinipendea tabasamu langu,na dimpo zangu,na macho yangu ya kuita na tabia.mimi nilimpendea tabia yake ya upole,lakini mmmh,na alikuwa kama rafiki na mpenzi,nipo comfortable nae kwa lolote lile namuambia na mshauri mzuri sana wa maisha.kilichonishinda hajui kupenda,alinichuna kisawa sawa mpaka nikaona,hapa kisukari hapendwi ila anachunwa tu.
napita tu,sijapata nikipata ntachangia
Kwa kua hujampata?
Ndio maalim siku nikimpata nami ntajua nachangia nini
kuambiwa...kuonyeshwa!kama mtu hajakupa sababu ya kutilia wasiwasi mapenzi yake kwako huna haja ya kua na wasiwasi!na as long as mpendwa anaridhika na kiwango anachopendwa...hapo mapenzi ya kweli yanahusika!!
wangu nampendea hela zake na yale nayoyapata kutokana na hela zake kama shopping dubai/paris,movie for three days a week,ananipa pia hela ya kuishi,ananilipia nyumba nayokaa,amenipa gari nzuri,anani-screw vizuri na yupo na mimi when am in need.................lol