Lile zoezi la kusajili silaha limeishia wapi?

jakarason1974

Senior Member
Apr 3, 2012
103
50
Nakumbushia tu lile zoezi la kusajili silaha lilitangazwa kwa mbwembwe na Daudi Bashite limeishia wapi?
 
Yalikuwa ni magizo tu mkuu, linafanana na lile ya walimu kusafiri bure, usafi kila jumamosi ya mwezi, kupanda miti kila mwanafunzi, nakuweka mabango ya mkuu wa mkoa barabarani, na juzi kati hapa ngada
 
Nakumbushia tu lile zoezi la kusajili silaha lilitangazwa kwa mbwembwe na Daudi Bashite limeishia wapi?
Hiyo ndiyo kazi ya Daudi Bashite kukurupuka tu. Baadhi ni kama: Kutafutia vijana ajira, uhakiki wa silaha, kuondoa wagogo Dar, kufungia shisha, madawa ya kulevya n.k! None of them has ever accomplished! :) Maamuzi kama hayo pekee yanadhihirisha jinsi gani Daudi ana elimu ya kuungaunga isiyo na vyeti halali. Anataka kila wakati awe kwenye media ionekane anafanya kitu fulani. Hilo ndilo tatizo. Angekuwa na elimu ya uhakika basi angekuwa na weledi zaidi.
 
Nakumbushia tu lile zoezi la kusajili silaha lilitangazwa kwa mbwembwe na Daudi Bashite limeishia wapi?
Hili ni taifa la kipumbavu kuwahi kutokea Duniani, unasema Bunduki tu?
Umesahau na zoezi la kuzima simu feki sijui liliishia wapi, mara speed governor, hili hovyo Sana.
 
Back
Top Bottom