Lile tangazo la clouds brazuka

Drama queen

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
157
Reaction score
289
Mdada anakuta mumewe kashika cm yake hlf anam fyonza kifyonzo kirefu kweli..mmhh jamani ukweli cjapenda..mke unamsonyaje mumeo..wanatufundisha nn
 
Mdada anakuta mumewe kashika cm yake hlf anam fyonza kifyonzo kirefu kweli..mmhh jamani ukweli cjapenda..mke unamsonyaje mumeo..wanatufundisha nn
Bahati mbaya sina king'amuzi cha kunionesha clouds tv. Yapo matangazo mengi kwenye tv zetu hapa nchini ambayo kwa maoni yangu hayakidhi advertising standards kulingana na tamaduni na maadili ya malezi. Huenda hilo unalozungumzia ni la aina hiyo. Watoto wakianza kumwiga huyo dada itakuwa balaa.
 
Shieka.. hilo tangazo ni la redio..itakuwa umeliskia ila hukulitilia maanani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…