Liko wapi hili eneo

Tandale tena hapo hawabomoi kufuli wao wanakojolea hayo matofali kisha wanayachomoa kiulaini wanaiba. Ukija asubuhi kufungua kufuli zako unakutana na maboksi matupu.
 
Tandale tena hapo hawabomoi kufuli wao wanakojolea hayo matofali kisha wanayachomoa kiulaini wanaiba. Ukija asubuhi kufungua kufuli zako unakutana na maboksi matupu.
Mathare Kenya hiyo Kasie
 
Duuhhhh lazma kuna misukule humo dukani kaifungia!
 
Mathare Kenya hapa,duka la Otieno
 
Pengine ni duka la kuuza vifuli, biashara matangazo
 
Huku kwetu kuna wizi wa kufuli sijui wanatengenezea nn maana wez wanaiba kufuli mpaka kero.
 
Hapo utakuta anawahi asubuhi kufungua ili msione!! Maana anafungua kufuli moja tu anachomoa lango lote
 
Kwa hali ilivyokuwa mbaya nchini na majambazi kila kona acha tu iwe ivyo maana hamna namna
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…