Haaaaaah!!!! mshana jr, umejuaje? ulidhani umejificha Bush, hapo nimeamka nimekuja kwenu nakutafuta na tochi mchana kweupee urudishe hela za escrow. Tunaziitaji tujengee maabara. Jisalimishe fasta yasije kukukuta ya Gaddafi.