Nimerudi salama boss tupo pamojaGood morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Kama kawa kama dawa..!ππΏππππ Karibu tena bhana
πππππΎππΎSijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
ππ nitakuja na Uzi wa amphibiaKaribu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
Sio laana tuu na gundSema tena jezi za Yanga zina laana
Ni mimi mwenyewe kabisaTunaojua kusoma tabia za watu...
Aliyeandika hapa si mshana...
Kama ni yeye, lipo jambo.
β€β€β€much loveππΎππΎππΎKaribu sana Mshana Jr jf ilikumiss
ππΎππΎππΎππΎAfadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
π€£
πππsema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni

ππππMshana Jr shikamoo...
Nimekuwa nikisikia kuwa wewe ni mtaalamu wa nguvu za asili...
Leo nakusalimia tu π€
Nimerudi salama boss tupo pamojaGood morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Kama kawa kama dawa..!ππΏππππ Karibu tena bhana
πππππΎππΎSijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
ππ nitakuja na Uzi wa amphibiaKaribu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
Sio laana tuu na gundSema tena jezi za Yanga zina laana
Ni mimi mwenyewe kabisaTunaojua kusoma tabia za watu...
Aliyeandika hapa si mshana...
Kama ni yeye, lipo jambo.
β€β€β€much loveππΎππΎππΎKaribu sana Mshana Jr jf ilikumiss
ππΎππΎππΎππΎAfadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
π€£
Thanks brotherSawa Karibu JF Tupo Tupo
Watu kama ninyi huwa nawachukia....ni shaba tuu hamna faidaWala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Wewe ni mchepuko wa mleta mada? naona kama imekuuma sana,Watu kama ninyi huwa nawachukia....ni shaba tuu hamna faida
Breaking news ndio inasubiriwa kwa hamu zaidi na Watu wengiNawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tanganyika huru. Nilikuwa mapumziko ya likizo ndefu nimerejea tena jukwaani na hii ndio mada yangu ya kwanza.
Kwa sheria na kanuni za Kazi duniani kote kila mfanyakazi anastahili mapumziko ya likizo ya mwezi mmoja katika miezi 12 ya mwaka.
Hili ni takwa la kisheria ndio maana hata marais hustahili hii likizo na uma hutaarifiwa rasmi kuhusu mapumziko ya rais. Kuna baadhi ya watumishi hasa wanaopenda sana kutumia mitandao ya kijamii, hupenda kutoa taarifa kwa kila wafanyacho ikiwepo mapumzikoni likizoni.
Kama kipindi Hicho cha likizo hawajasafiri kwenda popote, kijijini ama nje ya nchi kulingana na ukwasi ni ngumu kuona mitupio na selfie za kutosha.
Lakini kama wametoka nje mbali na eneo la Kazi kuselfika na kutupia mapichapicha ni jambo lisilo epukika na kwakuwa siku hizi camera tunatembea nazo lazima ushawishike. Kuna kipindi wakati wa mapumziko ya likizo Hayati mwendazake alitupia mapichapicha akiwa kapumzika kwenye miamba na majabali.. Nadhani alikuwa anayapenda sana mawe ndio maana hata akajiita jiwe!
Likizo ni wakati wa kupumzisha mwili na akili lakini pia ni wakata wa ku 'refresh mind' kwa bata za hapa na pale.. Ni katika kipindi hiki lazima tu utashawishika kutupia matukio mitandaoni..! Hasa kwa wale addicted.
Ukiwa mapumziko ya likizo na ukajikataa kabisa kutoonekana popote hasa kama wewe ni mpenda sifa ni uthubutu wa hali ya juu mno na lazima jamii inayokujua vena ikushangae sana na kutengeneza mijadala mingi
Anaway likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya mawili
1. Kuzidisha tetesi
2. Breaking news
Bado tunahesabu siku.. Tuupe muda wakati.
Good morning Tanganyika.β€
Chief punguza ghadhabu hasa kwa haya maisha ya nadharia ya kimtandao.Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Hakuna ghadhabu hapo,hiyo ni tafsiri yako,sio yangu,Chief punguza ghadhabu hasa kwa haya maisha ya nadharia ya kimtandao.
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tanganyika huru. Nilikuwa mapumziko ya likizo ndefu nimerejea tena jukwaani na hii ndio mada yangu ya kwanza.
Kwa sheria na kanuni za Kazi duniani kote kila mfanyakazi anastahili mapumziko ya likizo ya mwezi mmoja katika miezi 12 ya mwaka.
Hili ni takwa la kisheria ndio maana hata marais hustahili hii likizo na uma hutaarifiwa rasmi kuhusu mapumziko ya rais. Kuna baadhi ya watumishi hasa wanaopenda sana kutumia mitandao ya kijamii, hupenda kutoa taarifa kwa kila wafanyacho ikiwepo mapumzikoni likizoni.
Kama kipindi Hicho cha likizo hawajasafiri kwenda popote, kijijini ama nje ya nchi kulingana na ukwasi ni ngumu kuona mitupio na selfie za kutosha.
Lakini kama wametoka nje mbali na eneo la Kazi kuselfika na kutupia mapichapicha ni jambo lisilo epukika na kwakuwa siku hizi camera tunatembea nazo lazima ushawishike. Kuna kipindi wakati wa mapumziko ya likizo Hayati mwendazake alitupia mapichapicha akiwa kapumzika kwenye miamba na majabali.. Nadhani alikuwa anayapenda sana mawe ndio maana hata akajiita jiwe!
Likizo ni wakati wa kupumzisha mwili na akili lakini pia ni wakata wa ku 'refresh mind' kwa bata za hapa na pale.. Ni katika kipindi hiki lazima tu utashawishika kutupia matukio mitandaoni..! Hasa kwa wale addicted.
Ukiwa mapumziko ya likizo na ukajikataa kabisa kutoonekana popote hasa kama wewe ni mpenda sifa ni uthubutu wa hali ya juu mno na lazima jamii inayokujua vena ikushangae sana na kutengeneza mijadala mingi
Anaway likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya mawili
1. Kuzidisha tetesi
2. Breaking news
Bado tunahesabu siku.. Tuupe muda wakati.
Good morning Tanganyika.β€
puguza stress... Fanya mazoezi ya viungo, jipe muda wa kupumzika lala masaa 7 walau kwa siku, kula chakula bora na si bora chakula, kunywa maji mengi yale safi na salama walau lrt mbili kwa siku hali hiyo itaondoka taratibu utakuwa safi kama umezaliwa upya!Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Hapa anasemwa Makonda lakini povu linakutoka wewe, ajabu kwelikweli.Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Umeona ehheee, amekurupuka.puguza stress... Fanya mazoezi ya viungo, jipe muda wa kupumzika lala masaa 7 walau kwa siku, kula chakula bora na si bora chakula, kunywa maji mengi yale safi na salama walau lrt mbili kwa siku hali hiyo itaondoka taratibu utakuwa safi kama umezaliwa upya!
Makamba mbona umepaniki hivi ?Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Anaway likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya mawili
Nimerudi salama boss tupo pamojaGood morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Kama kawa kama dawa..!ππΏππππ Karibu tena bhana
πππππΎππΎSijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
ππ nitakuja na Uzi wa amphibiaKaribu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
Sio laana tuu na gundSema tena jezi za Yanga zina laana
Ni mimi mwenyewe kabisaTunaojua kusoma tabia za watu...
Aliyeandika hapa si mshana...
Kama ni yeye, lipo jambo.
β€β€β€much loveππΎππΎππΎKaribu sana Mshana Jr jf ilikumiss
ππΎππΎππΎππΎAfadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
π€£
πππsema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidiKaribu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
π nimechagua 'the most common'Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...
Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
Binti nani kapaniki?Makamba mbona umepaniki hivi ?