Likizo bila malipo

Likizo bila malipo

mpwisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
219
Reaction score
257
Samahani wana JF. Naomba kwa anayejua kuhusu namna ya kupata likizo bila malipo. ni mfanyakazi gani anastahili kuchukua, vigezo gani vinahitajika, masharti, na habari zake kwa ujumla
 
Si kila ofisi ina utaratibu huu, labda ungesema unatumiakia wapi? kwa maana ya serikalini/umma/binafsi?
 
Likizo bila malipo ina maana kwamba kipindi chote utakachokua likizo hutopata mshahara.na hii nahifahamu ktk sector ya ualimu.kwa maelezo zaidi kama umeajiriwa serikalini jaribu kuonana na afisa utumishi wako.bt kwenye sector binafsi ni ngumu sana,coz wao muda wote wako after money.so ukiondoka utakuta nafasi yako imechukuliwa.
 
Back
Top Bottom