Likifika salama wamshukuru Mungu

🎶🎶🎤🎵 halleluya tutaonana * 2 🎹🎻🎼🎺🎷
Familia zao zianze kukodi maturubai
 
🎶🎶🎤🎵 halleluya tutaonana * 2 🎹🎻🎼🎺🎷
Familia zao zianze kukodi maturubai

Najaribu kuhesabu makosa ya baabarani naona ni kama total loss hiyo gari
 
Tulifika salama kama watakavyotoka salama waizi wa escrow
 
Kwanza wanachofanya hapo huku lori likiwa limesheheni mzigo ni hatari tupu
 
Duh!sasa hao jamaa hApo chini hawana tahadhari kabsaa na huo mti kama ukivunjika je!!!???
 
Halafu wakifa kwa ajali utasikia wanasema ni kazi ya MUNGU, wakati wanajitakia wenyewe
 
akili zao bwana wanawezaje kufanya hiyo kazi ingali mzigo umesheheni
 
gari la mkaa trip moja porini likirudi gereji wiki nzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…