M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,527 Reaction score 10,538 Apr 12, 2019 #1 Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Apr 12, 2019 #3 Mapoint gani labda umeandika Sent using Jamii Forums mobile app
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,578 Apr 12, 2019 #4 hatutaki kuambiwa ukweli wala kuelimishwa vitu vya muhimu, wew ukitaka like fanya uwe unafundisha ujinga, jokes na chekesha watu, na kusifia pumba
hatutaki kuambiwa ukweli wala kuelimishwa vitu vya muhimu, wew ukitaka like fanya uwe unafundisha ujinga, jokes na chekesha watu, na kusifia pumba
Baby Doll JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 4,880 Reaction score 22,052 Apr 12, 2019 #5 Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes? Aibu nimeona Mimi. Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes? Aibu nimeona Mimi. Sent using Jamii Forums mobile app
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,578 Apr 12, 2019 #6 mama kubwa... Duu!
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Apr 12, 2019 #7 Chukua like zangu utumie.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Apr 12, 2019 #8 Suriya said: mama kubwa... Duu! Click to expand... Umeona like yangu?
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,527 Reaction score 10,538 Apr 12, 2019 Thread starter #9 Baby Doll said: Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes? Aibu nimeona Mimi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hongera kwa kuona aibu.
Baby Doll said: Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes? Aibu nimeona Mimi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hongera kwa kuona aibu.
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,578 Apr 12, 2019 #10 Viatu vya Samaki said: Umeona like yangu? Click to expand... maybe, why u ask?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Apr 12, 2019 #11 Suriya said: maybe, why u ask? Click to expand... Nakupa like ambazo huyo mama anakosa. Kula like nyingine.
Suriya said: maybe, why u ask? Click to expand... Nakupa like ambazo huyo mama anakosa. Kula like nyingine.
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,504 Apr 12, 2019 #12 jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida.
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Apr 12, 2019 #13 mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Haya chukua io...
mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Haya chukua io...
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Apr 12, 2019 #14 Blac kid said: jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida. Click to expand... 😂😂😂
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,527 Reaction score 10,538 Apr 12, 2019 Thread starter #15 Blac kid said: jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida. Click to expand... Yaani zilivyoadimika utafikiri CAG anakagua hadi like!
Blac kid said: jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida. Click to expand... Yaani zilivyoadimika utafikiri CAG anakagua hadi like!
NYEKUNDU YA BIBI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 2,305 Reaction score 2,992 Apr 12, 2019 #16 Njopino said: Duh... Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,550 Reaction score 105,314 Apr 12, 2019 #17 mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Hata mimi...!!??
mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Hata mimi...!!??
capitalpool JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 22,369 Reaction score 121,267 Apr 12, 2019 #18 mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Karibu kwa Uzi maalum wa kupeana "LIKES". Ni rahisi kupata likes, don’t stress Yourself kwa vitu vidogo kama hivi.
mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Karibu kwa Uzi maalum wa kupeana "LIKES". Ni rahisi kupata likes, don’t stress Yourself kwa vitu vidogo kama hivi.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Apr 12, 2019 #19 Blac kid said: jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida. Click to expand... Hahahaha dah nimecheka sana wana mnajivimambo
Blac kid said: jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida. Click to expand... Hahahaha dah nimecheka sana wana mnajivimambo
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,550 Reaction score 105,314 Apr 12, 2019 #20 mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Nikinyoa napata muwasho wa ajabu Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhali www.jamiiforums.com Kwa huu uzi nilikupa like kama zote mkuu, maana hapa ulitupia nondo sio za nchi ya viwanda....tehteehh
mama kubwa said: Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi. Click to expand... Nikinyoa napata muwasho wa ajabu Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhali www.jamiiforums.com Kwa huu uzi nilikupa like kama zote mkuu, maana hapa ulitupia nondo sio za nchi ya viwanda....tehteehh