Ligwaride hilo la ccp-moshi

Ligwaride hilo la ccp-moshi

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
PICHA%2B4.JPG
 
waume za watu hao, wakifika home wanabinuliwa na kugeuzwageuzwa kama kawa.
 
Miguu iliyo juu haiendani kwa level ya kuinuka hivyo ikishuka chini ni maembe kwa sana; hizo ala walizoshika kwa mkono wa kulia nazo zimeinuliwa kila mmoja anavyoona, ni sura ya vurugu match. Mambo hayo yanaonesha hata utendaji wao wa kazi ni itakuwa vivyo hivyo, yaani, shaghalabagla!!
sipati picha mavisimi yanavyosagika hapo wengine watakuwa wameshalowa tayari...
 
Hawa wanaomwangalia mpiga picha na huyo wa nyuma anaetabasamu wanaharibu pozi la ukakamavu
 
Miguu iliyo juu haiendani kwa level ya kuinuka hivyo ikishuka chini ni maembe kwa sana; hizo ala walizoshika kwa mkono wa kulia nazo zimeinuliwa kila mmoja anavyoona, ni sura ya vurugu match. Mambo hayo yanaonesha hata utendaji wao wa kazi ni itakuwa vivyo hivyo, yaani, shaghalabagla!!

Kweli kabisa, cheki walivyo wengine mabonge, wengine vimodo...na kweli hapo kuangusha maembe hakuepukiki asilani...
 
Back
Top Bottom