yaani ujawaelewa hawa mkuu!
refa yeyote atakayechezesha mechi ya yanga na ikatokea yanga ametoa sare au kufungwa, kwa mujibu wao huyo ndio refa mzuri..
ikitokea refa huyohuyo achezeshe mechi ya yanga na yanga sc ishinde, basi huyo ni refa mbaya na hafai kuchezesha ligi ya bongo...
kule zenji ni kutokana na yanga sc ametoka mapema ndio maana marefa wa kule hatujasikia wakilaumiwa, ila yanga angetinga hadi fainali kwa matokeo chanya ,basi hizo lawama ambazo marefa wa vpl zingewashukia wao pia...