Ligu Kuu Soka Tanzania Bara Tarehe 17/01/17: Majimaji FC 0 vs Yanga SC 1

Hivi matopeni wameisha leta marefa toka nje ya nchi na kuwalipia nauli na posho ili wachezeshe fair game kwenye mechi zao kuanzia kesho Morogoro?
Wale wa Zanzibar walitoka nchi gani vile?
 
Si ongei kwa ushabiki,marefa wa Tanzania wanamaamzi ya kinyumenyume,ndio maana hata timu ya Taifa tunachagua wachezaji wasio nakiwango nakudhani ni wazuri kumbe mbeleko ya marefa.Mwenye akili ataelewa namaanisha nini.
Watanzania tusijifanye tunajua kilakitu!

refa yeyote akichezesha mechi ya yanga basi anaonekana anaua soka la bongo...ila akichezesha mechi ya simba anaonekana anajenga soka la bongo.

mbona walimu wa timu zote hawakumtupia lawama mwamuzi?
 
Hivi matopeni wameisha leta marefa toka nje ya nchi na kuwalipia nauli na posho ili wachezeshe fair game kwenye mechi zao kuanzia kesho Morogoro?
Wale wa Zanzibar walitoka nchi gani vile?
yaani ujawaelewa hawa mkuu!

refa yeyote atakayechezesha mechi ya yanga na ikatokea yanga ametoa sare au kufungwa, kwa mujibu wao huyo ndio refa mzuri..

ikitokea refa huyohuyo achezeshe mechi ya yanga na yanga sc ishinde, basi huyo ni refa mbaya na hafai kuchezesha ligi ya bongo...

kule zenji ni kutokana na yanga sc ametoka mapema ndio maana marefa wa kule hatujasikia wakilaumiwa, ila yanga angetinga hadi fainali kwa matokeo chanya ,basi hizo lawama ambazo marefa wa vpl zingewashukia wao pia...
 
Hawa matopeni huwa hawajui wanataka nini. Kule Zanzibar walifunga goli la offside na hakuna aliyepiga kelele. Lakini situation hiyo hiyo ingetokea kwa Yanga, hadi leo wangekuwa wanaimba.

Angalia mpira wa jana kule Songea. Ile movement ya mpira ilivyokuwa haraka na kweli mpira uligonga mkono wa Juma Abdul na refa alikuwa karibu. Alifanya uamuzi kuwa haikuwa intentional handball ya makusudi. Tayari wamelivalia bango hilo. Wanajifanya hawajui tofauti kati ya ball to hand au hand to ball.

Nao wachambuzi wa Azam, ambao wanalipwa na Azam huyo huyo wanadai ilikuwa penati. Sasa uangalie situation kama hizo kwa Azam jinsi wanavyojiumauma kumwogopa anayewapa tonge la ugali. Wajinga wakimsikia mchambuzi wa aina hiyo, basi kwao imekuwa ndiyo ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom