Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,941 Reaction score 51,061 Feb 11, 2026 #1 Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,889 Reaction score 21,453 Feb 11, 2026 #2 Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana.
Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,941 Reaction score 51,061 Feb 11, 2026 Thread starter #3 Imeloa said: Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana. Click to expand... Na wao wanapenda kujitapa kama vile ni timu za maana.
Imeloa said: Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana. Click to expand... Na wao wanapenda kujitapa kama vile ni timu za maana.
Kafka Member Joined Jan 4, 2025 Posts 68 Reaction score 130 Feb 11, 2026 #4 kiushindani au kimiundombinu