Play off gani hiyo wakati kwenye msimamo wa ligi kuna timu 16 game zimechezwa zaidi ya 30?!Hizo wanazocheza sasa ni playoffs
Pro league playoffNiliwahi kutaka ufafanuzi wa ligi ya belgium na Scotland. Sikupata ufafanuzi wa kutosha.
Play off gani hiyo wakati kwenye msimamo wa ligi kuna timu 16 game zimechezwa zaidi ya 30?!
hilo hapo neno................Ile ligi inachezwa kawaida mechi 30 na zikiisha bado bingwa anakuwa hajapatikana hivyo team sita za juu zinaunda group na kucheza ligi ya kwao peke yao huku kila mmoja akiwa katolewa point 20 katika alizokuwa nazo mf genk ilikuwa na 47 ikatolewa 20 imebaki na 27 kwenye ligi ya team sita na hapo watacheza home and away mpaka wanamalize mzunguko na atakayekuwa juu ndo atakuwa bingwa na kuwakilisha kwenye uefa huku wa pili akicheza uefa playof
Watatu atacheza europa na wanne atacheza europa playof
Kila mtu ana Uhuru sasa ulitaka wasishabikie?we ndo unachekesha sio watzWatz bhana tunafuraisha muno! Eti ligi ya ubelgiji imekuwa na advantage kwetu kwa sababu tu ya mtanzania mwenzetu aliyepo huko tena mmoja tu (samatta) hahahahaaa jamani vichekesho kwelikweli, kipindi cha nyuma tulikuwa wapi hatuzifatilii ligi zao? Je akihama huko alipo (ubelgiji)akaenda nchi ingine tutamfata?
Kila mtu ana Uhuru sasa ulitaka wasishabikie?we ndo unachekesha sio watz
That is ur hobby,waache wengine washabikie timu wanazojua waoJe Akiondoka ubelgiji mtaendelea shabikia hiyo club?hivyo siwezi kupoteza muda wangu kuitafuta timu ya ubelgiji,wakati kuna epl,la liga, league 1,serie A,bundesliga nk....