Bwasheemweusi
Member
- May 6, 2017
- 39
- 17
Ndio
Umaskini wetu kama nchi unachangiwa nawewe unayesoma hii postUmaskini wetu kama nchi unachangiwa nawewe unayesoma hii post kwa kutotenda kwa uadilifu,bidii na mbinu zinazoendana na karne hii, kimsingi umaskini wa kipato kwa maana ya kukosa cha kula na kuwa mtumwa wa tumbo unapelekea umaskini wa fikra ambazo zilitakiwa zitukomboe ,swala la utamaduni mbaya wa fikra zilizopotoka nalo janga lingine linalotuangamiza tumekuwa na kizazi chenye mawazo ya mkato na sio mawazo mbadala, kila mtu anataka kujilimbikizia mali kwa kuibia wananchi wenzake bila kujali anadhoofisha juhudi za maendeleo endelevu ndio maana tumekwama sasa hivi tunabuzuzana tu na kila anayevuta yuko short sighted haoni zaidi ya mita mia tunajikuta shimoni na wakiaja na mawazo ya kututoa shimoni yanakuwa hayajafanyiwa tathimini hivyo tunajikuta tumeingia kwanye shimo kubwa zaidi lenye matope.
Siku izi kila mwajiriwa anataka kuiba na sio kuongeza ufanisi na uzalishaji, hatuna watu wengi wanaobuni fursa mpya za kiuchumi zaidi ya kuigana ,na wale wachachewanye uwezo wa kubuni hamna mtu anayethamini na kuendeleza juhudi zao .
Kweli bongo bahati mbaya tunajiangamiza wenyewa maana viongozi wetu ambao ni ndungu zetu baba mama na watoto wetu ndo wametufikisha hapa
Hata wewe ukipewa rungu utatuangamiza tu kwasababu ya utamaduni mbovu
Natoa wito kwa wanajamii tubadili mtazamo na utamaduni wa kutenda mamo
Jumapili njema
Sasa kwani umaskini kasabisha nani... Usijitoe ukatafta wa kulaumu sio lazima usain mkataba .... Kutofanya lolote nalo kosaUmaskini wetu kama nchi unachangiwa nawewe unayesoma hii post
Huna akili kabisa, mimi nimesign mkataba gani?