Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao!
Nisameheni mie sijui kuandika vizuri, ila nitajitahidi kueleweka..
Siku nyingi sana niliwahi kusikia kuhusu Mchagga kutoka na Kibanio, kipindi anamiliki Saluni yake pale Ilala.. Kibanio aliwahi kufunguka alipoulizwa kuhusu kutoka na overage na kujitetea 'mchaga mwenyewe sio mkubwa kiihivyo'.. Hayo yakapita.
Mchagga baada ya kupata kiki town akarukia kwa Plate Number na kumrithisha Kibanio kwa Madam Biesiesi (sijui ni hiari au kwa kuchepukwa).
Kwa pleti namba akauza nyago pia kwa muda mfupi, nae akampasishia kwa Mama Ubaya.. Hapo akapumua kidogo kwanza ili kutunisha kamfuko kake. Ndipo akaanza kuripotiwa kutoka na wakina Mashilingi na Wabolingo..
Ligi kwa upande wa Biesiesi ikaendelea kwa kasi lakini baada ya kuona kibanio kimechakaa na kimeanza kuota vidotidoti, akaamua kukitupa na kuhamishia uwekezaji kwa mmoja wa matunda yake ya Biesiesi (jina kwenye kikapu kwasasa).
Sasa Mchaga amerudi kwenye fomu. Amejidumbukiza kwenye zao la Pleti Namba ili kulichepua.. Swali la kujiuliza ni; Je, zao hili safari hii litapelekwa soko lipi baada ya mavuno?
Kodi hujibiwa kwa kodi!