Ligi ya Mabingwa Afrika makundi, Zesco kwenye domo la waarabu!! !!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,985
Kundi A la klabu bingwa Afrika linajumuisha timu za Zesco United(Zambia), Al Ahly SC (Misri), Asec Mimossas (Ivory Coast) na Wydad AC (Morocco)

Wakati Kundi B likiwa na timu za Enyimba FC (Nigeria), Zamalek (Misri) na Mamelodi Sunddowns (Afrika Kusini)

Makundi Klabu bingwa Africa (CAF Champions League)
Yanga-conf-1.jpg
 
Back
Top Bottom