Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Mbeya City 0 - Yanga 1.

Stand United 1 - Simba SC 0.
 
Dk ya 35 Yanga bado anaongoza goli moja dhidi ya MCC.
 
Mkuu usimwombee hivyo?
bado dogo tunamwitaji hapa jangwani.

ni kweli mkuu kijana tunamuhitaji sana ila ni angalizo tu...si unajua tena vijana wakilewa mafanikio nini hutokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…