Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Makoye Matale tupatie matokeo ya hapo kambarage
Last edited by a moderator:
Makoye Matale tupatie matokeo ya hapo kambarage
msuva kawa kama mcharo!
Kajamaa nyota yake inang'aa.
updates za leo hazijakaa vizuri...
lakini usishangae kesho kesho kutwa amepotea kama alivyokuwa Bahanuzi
lakini usishangae kesho kesho kutwa amepotea kama alivyokuwa Bahanuzi
Kama huipendi Simba basi jitahidi basi japo kumjali na kumhurumia hata kaka yako Katavi.Koh koh koh Simba kawa paka lol.
Naipenda Yanga mwana wa Jangwani...
Koh koh koh Simba kawa paka lol.
Naipenda Yanga mwana wa Jangwani...
Mkuu usimwombee hivyo?
bado dogo tunamwitaji hapa jangwani.
Haaaaaa Simba kawa paka nimeipenda hiyo
Mbeya City 0 - Yanga 1.
Stand United 1 - Simba SC 0.
Acha roho mbaya wewe.natamani game la shinyanga liishe sasa hivi...