Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Leo ndio leo,, watani wa jadi wanakutana katika mechi ya ligi kuu mzunguko wa pili, Yanga akiwa mwenyeji wa mchezo huu.
Yanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa kushinda katika mchezo wa leo huku ikizingatiwa tangu kocha Mwinyi Zahera aje Yanga haijawahi kupoteza mchezo wowote kwa idadi kubwa ya magoli. Kocha Patricks Aussem amekuwa na wakati mgumu na timu ya Simba baada ya kupata vipigo kadhaa mfululizo huku akipigwa goli 10 katika mechi 2 klabu bingwa.
UPDATES
kikosi YANGA :
Golini : Kabwili (17)
Ulinzi : Ninja (20)
Kiungo : Fei Toto (19)
Kikosi rasmi kinakuja muda sio mrefu

UPDATE
MIDA YA SAA 4 ASUBUHI JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYA USALAMA wanawakatalia wazee watatu wa Simba kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji hasa baada ya kushindwa kutoa maelezo wanaenda kufanya nini vyumbani humo
UPDATES
VIKOSI RASMI
SIMBA
Aishi MANULA
ZANA
PASCAL WAWA
JUUKO MURSHIDI
MO HUSSEIN
JAMES KOTEI
CLAOUTUS CHAMA
JONAS MKUDE
OKWI
KAGERE
BOCCO
 
Shadeeya kuja hapa uone kikosi cha mauaji
51936931_1202671273225219_1743832360845049856_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ina ubora gani aarrghh..Yanga chini ya Manji haikufungwa goli tano Na Al Ahly....Tambweeeeee
 
Back
Top Bottom