Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Dakika ya 4 Yanga wamefungwa 1,
Dk ya 8 Yanga wanapata kona lakini hawajaitumia vizuri. Yanga wanendelea kuliandama lango la wapinzani wao lakini wanakosa umakini kwenye third part.
Dk 13 Cannavaro anafanyiwa madhambi Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo.
Dk 30 Mgambo wanapata kona, lakini Yanga wanalinda vyema, lakini sekunde chache baadae Mgambo wanakosa goli la wazi.
Dk 39 kipa wa Mgambo JKT anapata kadi ya njano kwa kupoteza muda.
Dk 43 Deus Kaseke anaisawazishia Yanga sasa ubao unasomeka Yanga 1 - Mgambo JKT 1
==============MPIRA NI MAPUMZIKO==============
Dakika ya 73 Yanga kupiti kwa Deus Kaseke wanapata goli la pili
Mpira umemalizika kwa matokeo ya 2-1