Ligi kuu Bara: Ndanda Vs Yanga 14 May, 2016

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Kutoka Taifa Ndanda wanamenyana na Dar es Salaam Young Africans (Yanga) katika mechi ambayo Yanga watakabidhiwa Kombe la ligi kuu ya Tanzania Bara VPL.

Ndanda-fc-logo.png

VS

images

=====================
MPIRA UMEMALIZIKA KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, MATOKEO YA MCHEZO NI NDANDA 2 NA YANGA 2

Dk 91 Hamis Tambwe anakosa gola la wazi baada ya shuti lake kupaa

DAKIKA 4 ZIMEONGEZWA

DAKIKA 79 UBAO WA MATOKEO UNASOMA NDANDA 2 NA YANGA 2

Dk 79 Ndanda wanapata goli la kusawazisha

Dk 75 Mabadiliko kwa Yanga anatoka Donald Ngoma na anaingia Matheo Anthony

Dk 53 Hamis Tambwe anakosa goli baada ya kupokea pasi swafi kutoka kwa Mwashiuya

Dk Kipa Chove wa Ndanda anautoa mpiara uliopigwa na Oscar Joshua

Dk 46 Yanga wanapata mpira wa adhabu eneo karibu kabisa na 18

Dk 45 za kipindi cha pili zinaanza

KIPINDI CHA KWANZA KINAMALIZIKA KWA NDANDA KUPATA GOLI MOJA MA YANGA MAGOLI MAWILI

Dk Simon Msuva anafanyiwa madhambi aneo karibu na 18

DAKIKA 36: NDANDA 1 VS YANGA 1

Dk 35:29 Yanga wanapata goli kupitia kwa Simon Msuva

Dk 33 Yanga wanapata kona na Yanga wanashindwa kuibadiri kuwa goli

Dk 26 Ndanda wanapata Penati na Dk 28 Omary Mponda anaiandikia Ndanda goli la kwanza

Dk 19 Ndanda wanakosa goli la wazi kabisa

Dk 17 Donald Ngoma anakosa goli baada ya kupiga kichwa lakini mpira unatoka nje

DK 14 Yanga wanapata kona lakini wanashdwa uifunga

Beki wa Ndanda anatoa mpira na Yanga wanapata kona

Niyonzima Haruna anakosa goli baada ya mpira wake kutoka nje ya goli

Hamis Tambwe anakosa goli kwa kupiga kichwa bila ya malengo

Ndanda wanatengeneza shambulizi lakini Rafael kijana aliyepo Ndanda kwa mkopo anapiga nje ya uwanja

Mh Mwigulu Nchemba Waziri wa Klimo na Ufugaji anakagua vikosi vya timu zote mbili.

Wachezaji wa Ndanda wamejipanga tayari kuwapa heshima wachezaji wa Yaga (Stand of Honor)
 
Kutoka Taifa Ndanda wanamenyana na Dar es Salaam Young Africans (Yanga) katika mechi ambayo Yanga watakabidhiwa Kombe la ligi kuu ya Tanzania Bara VPL.

Ndanda-fc-logo.png

VS

images

=====================
Beki wa Ndanda anatoa mpira na Yanga wanapata kona

Niyonzima Haruna anakosa goli baada ya mpira wake kutoka nje ya goli

Hamis Tambwe anakosa goli kwa kupiga kichwa bila ya malengo

Ndanda wanatengeneza shambulizi lakini Rafael kijana aliyepo Ndanda kwa mkopo anapiga nje ya uwanja

Mh Mwigulu Nchemba Waziri wa Klimo na Ufugaji anakagua vikosi vya timu zote mbili.

Wachezaji wa Ndanda wamejipanga tayari kuwapa heshima wachezaji wa Yaga (Stand of Honor)

Mkuu ukiwa unatuwekea na dakika itakuwa vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom