Pool table taaaaamuuuuu sana mwalimu mwenyewe naona kalielewaNimeipenda hiyo ya JK wa kwanza anacheza Pool Table..
Snooker na pool table iko tofautiPool table taaaaamuuuuu sana mwalimu mwenyewe naona kalielewa
Kabisa asee mkuuPool table taaaaamuuuuu sana mwalimu mwenyewe naona kalielewa
Naomba katofauti mkuu gilesi,maana siijui tofautiSnooker na pool table iko tofauti
Naomba katofauti mkuu gilesi,maana siijui tofauti
Hivi kuna mtu hajui kupiga tumba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mpiga gitaa anaugulia yake ya moyoni!
Toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma? Ngoma ya watoto nayo ikakesha?Usiende mbali, wewe unajuwa kuzipiga? Maana kuna mwingine unamwambia apige tumba ananza kuilamba kwanza kwa sababu ya ile harufu ya ngozi ya nguruwe/ng'ombe.
Toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma? Ngoma ya watoto nayo ikakesha?